Watoto ni moja kati ya makundi katika jamii ambalo linahitaji uangalizi wa kutosha ili kuweza kuwa na ukuaji mzuri katika maadili, kiafya na hata kielimu. Makundi mengine yenye kuhitaji uangalizi ni pamoja na Wazee na mama wajawazito.
Ili mtoto aweze kukua vizuri kiafya, moja na mambo ya msingi ambayo atahitaji ni pamoja na lishe, pamoja na....